Nafasi ya Kazi Makazi Investment Ltd, Msichana wa Kufanya Usafi Ofisini Anahitajika (Nafasi Moja) - AJIRA PLUS+

New Jobs Today

Nafasi ya Kazi Makazi Investment Ltd, Msichana wa Kufanya Usafi Ofisini Anahitajika (Nafasi Moja)

Msichana wa Kufanya Usafi Ofisini (Nafasi Moja) image 0 
Details
Application deadline :  2017-06-03

Business / Employer name :  Makazi Investment Ltd

Job categories
  • Other
Job Role :  Entry Level

Position Type : Full Time

Organization Type : Private Sector
Location
Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam

Description
Makazi Investment Ltd inatangaza kazi ya msichana wa usafi kwa ajili ya kufanya usafi ofisi.
Vigezo na msharti ni kama ifuatavyo;-

  1. Awe na uzoefu wa kufanya usafi maofisini,
  2. Umri usizidi miaka 29,
  3. Ofisi ipo makumbusho kijitonyama, muombaji awe anaishi maeneo ya karibu ili iwe rahisi kwake kuwahi ofisini na kufanya usafi,
  4. Elimu kuanzia sekondari, muombaji awe mchangamfu na anayejituma.
Namna ya kuomba, piga simu nambari 0656 186 260 utapewa utaratibu